sw_tn/job/11/15.md

24 lines
835 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# inua juu uso wako bila ishara ya aibu;
"Inua juu uso wako" inawakilisha mtazamo wa mtu mwenye kujiamini na ujasiri"
# ungeyakumbuka hayo tu kama maji ambayo yametiririka mbali.
Sofari analinganisha ukiwa na maji ambayo hutiririka chini na yanapotea. "Wewe ungeyakumbuka, lakini mateso yatatoweka kama maji ambayo yametiririka mbali.
# Maisha yako yangekuwa angavu kuliko adhuhuri;
Sofari anarudia wazo lile lile kwa msisitizo.
# Maisha yako yangekuwa angavu kuliko adhuhuri
mga'o unawakilisha kuwa mwenye mafanikio na furaha. "Maisha yako yangefanikiwa na furaha kama adhuhuri"
# japokuwa kulikuwa na giza,
giza linawakilisha mahangaiko na huzuni."Ingawa kulikuwa ya giza na huzuni"
# itakuwa kama asubuhi.
Asubuhi inawakilisha mwanga, ambao unawakilisha mafanikio na furaha. "yatakuwa mafanikio na furaha kama asubuhi"