# inua juu uso wako bila ishara ya aibu; "Inua juu uso wako" inawakilisha mtazamo wa mtu mwenye kujiamini na ujasiri" # ungeyakumbuka hayo tu kama maji ambayo yametiririka mbali. Sofari analinganisha ukiwa na maji ambayo hutiririka chini na yanapotea. "Wewe ungeyakumbuka, lakini mateso yatatoweka kama maji ambayo yametiririka mbali. # Maisha yako yangekuwa angavu kuliko adhuhuri; Sofari anarudia wazo lile lile kwa msisitizo. # Maisha yako yangekuwa angavu kuliko adhuhuri mga'o unawakilisha kuwa mwenye mafanikio na furaha. "Maisha yako yangefanikiwa na furaha kama adhuhuri" # japokuwa kulikuwa na giza, giza linawakilisha mahangaiko na huzuni."Ingawa kulikuwa ya giza na huzuni" # itakuwa kama asubuhi. Asubuhi inawakilisha mwanga, ambao unawakilisha mafanikio na furaha. "yatakuwa mafanikio na furaha kama asubuhi"