sw_tn/job/10/17.md

12 lines
461 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wewe unaleta mashahidi wapya dhidi yangu
Taabu za Ayubu kutoka kwa Mungu zinazungumziwa kana kwamba ni watu ambao wanatoa ushahidi dhidi yake.
# na kuzidisha hasira zako dhidi yangu
Jina la kufikirika "hasira" linaweza kutafsiriwa kama kivumishi "mwenye hasira." "na mwenye hasira na mimi zaidi na zaidi"
# wanishambulia na majeshi mapya.
Mungu kutuma taabu dhidi ya Ayubu kunazungumziwa kana kwamba Mungu mara kwa mara anatuma majeshi mapya dhidi yake.