# Wewe unaleta mashahidi wapya dhidi yangu Taabu za Ayubu kutoka kwa Mungu zinazungumziwa kana kwamba ni watu ambao wanatoa ushahidi dhidi yake. # na kuzidisha hasira zako dhidi yangu Jina la kufikirika "hasira" linaweza kutafsiriwa kama kivumishi "mwenye hasira." "na mwenye hasira na mimi zaidi na zaidi" # wanishambulia na majeshi mapya. Mungu kutuma taabu dhidi ya Ayubu kunazungumziwa kana kwamba Mungu mara kwa mara anatuma majeshi mapya dhidi yake.