sw_tn/job/09/34.md

20 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari unganishi:
Mistari hii inaendeleza hoja ya kwanza kwamba hakuna hata mmoja aliye mkuu kuliko Mungu ambaye anaweza kutenda kama hakimu kati ya Mungu na Ayubu.
# niondolee fimbo ya Mungu
Hapa "fimbo ya Mungu" ni mfano wa Mungu anamwadhibu au anamrekebisha Ayubu. "acha Mungu kuniadhibu mimi"
# awezaye kuzuia kitisho chake kisinitie hofu
Jina la kufikirika "kitisho" inaweza kutafasiriwa kama kitenzi "tisha." "mzuie kunitisha na kuniogofya mimi"
# kisha ningesema
"kisha ningeliweza kusema"
# kama mambo yalivyo sasa
"kwasababu hivi ndivyo mambo yalivyo sasa"