forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
511 B
Markdown
16 lines
511 B
Markdown
|
# Kama najiosha mwenyewe kwa maji ya theluj
|
||
|
|
||
|
"Kama nimeoga tu, maji safi"
|
||
|
|
||
|
# kuitakasa mikono yangu na kuwa safi zaidi
|
||
|
|
||
|
"kuifanya mikono yangu safi sana." Baadhi ya tafsiri zingine za Biblia zinafasiri hiki na maana ya "nimeosha mikono yangu na sabuni kali sana."
|
||
|
|
||
|
# nitumbukize shimoni
|
||
|
|
||
|
"nitupe shimoni"
|
||
|
|
||
|
# nguo zangu mwenyewe zitanichukia
|
||
|
|
||
|
Nguo za Ayubu zinazungumziwa kana kwamba zina jibu hasi kwa Ayubu baada ya Mungu kumtumbukiza yeye shimoni. "Mimi nitakuwa mchafu sana kwa ajili ya nguo zangu mwenyewe"
|