forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.1 KiB
Markdown
36 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Siku zangu zinapita haraka kuliko tarishi akimbiae
|
||
|
|
||
|
Ayubu analinganisha namna siku zake zinavyopita upesi na mkimbiaji mwenye kasi. "Siku zangu zinapita kwa haraka"
|
||
|
|
||
|
# tarishi akimbiae
|
||
|
|
||
|
"mkimbiaji" au "mtu anayekimbia"
|
||
|
|
||
|
# siku zangu zinakimbia mbali
|
||
|
|
||
|
Hii inazielezea siku za maisha ya Ayubu kama zinaweza kukimbia mbali kama mtu.
|
||
|
|
||
|
# hazioni mema mahali popote
|
||
|
|
||
|
Hii inazielezea siku za maisha ya Ayubu kama zinaweza kuona kama mtu.
|
||
|
|
||
|
# hakuna mema
|
||
|
|
||
|
"hakuna jambo jema"
|
||
|
|
||
|
# Zinapita kwa kasi kama mashua zilizoundwa kwa mafunjo
|
||
|
|
||
|
Ayubu analinganisha namna siku zake zinavyopita kwa upesi na mwendo kasi wa mashua. "Zinapita haraka kama mashua zilizotengenezwa kwa mafunjo"
|
||
|
|
||
|
# mashua zilizoundwa kwa mafunjo
|
||
|
|
||
|
"mashua iliyotengenezwa kwa mafunjo." Mafunjo ni majani yenye shimo ambayo humea pembezoni mwa kingo za mito.
|
||
|
|
||
|
# zinakasi kama tai ashukaye upesi katika mawindo yake
|
||
|
|
||
|
Ayubu analinganisha namna siku zake zinavyopita upesi na ndege mkubwa ashukaye upesi kuelekea kwenye mawindo. "ana kasi kama tai ashukae chini kwa kasi kukamata chakula chake.
|
||
|
|
||
|
# shuka chini kwa kasi
|
||
|
|
||
|
"kuharakisha kwenda chini"
|