forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.2 KiB
Markdown
40 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Kama ni habari ya nguvu
|
||
|
|
||
|
"Kama kuna mabishano ya nguvu"
|
||
|
|
||
|
# tazama
|
||
|
|
||
|
"tazama" au "kuwa makini na kile nataka kukuambia"
|
||
|
|
||
|
# yeye ni mwenye nguvu
|
||
|
|
||
|
"yeye ni hodari sana"
|
||
|
|
||
|
# nani atakaye mhukumu?
|
||
|
|
||
|
Swali hili linatarajia jibu la "Hata mmoja" kutengeneza hoja kwamba hakuna hat mmoja awezaye kumfikisha Mungu mahakamani. Hili linaweza kupangiliwa kama kama maelezo. "hata mmoja anaweza kumuita yeye kortini."
|
||
|
|
||
|
# Ingawa ni mwenye haki
|
||
|
|
||
|
Hapa "mimi nipo katika haki" inamaanisha mimi ni mmoja ambaye nimefanya mambo yaliyo haki. "Ijapokuwa mimi nimefanya mambo ya haki" au "Hata hivyo mimi sina kosa"
|
||
|
|
||
|
# Ingawa ni mwenye haki, kinywa changu mwenyewe kitanihukumu; na ingawa ni mtakatifu, maneno yangu yatashuhudia kuwa ni mwenye kosa.
|
||
|
|
||
|
mstari huu unaelezea wazo lile lile mara mbili kwa ajili ya kusisitiza.
|
||
|
|
||
|
# kinywa changu mwenyewe kitanihukumu
|
||
|
|
||
|
Hapa "kinywa" mfano wa maneno ya Ayubu. "maneno yangu mwenyewe yatanishitaki" au "kile ninachosema kitanihukumu"
|
||
|
|
||
|
# mtakatifu
|
||
|
|
||
|
"bila kosa"
|
||
|
|
||
|
# maneno yangu yatashuhudia kuwa ni mwenye kosa
|
||
|
|
||
|
Hapa "maneno yangu" yameongelewa kana kwamba yanaweza kutenda jambo. "Mungu atatumia kile ninachosema kuthibitisha mimi ni mwenye kosa"
|
||
|
|
||
|
# mwenye makosa
|
||
|
|
||
|
Neno hili hapa linamaanisha "kugeuzwa" au "mdanganyifu."
|