forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
812 B
Markdown
28 lines
812 B
Markdown
|
# Habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia ulinganishaji katika kila mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili kusisitiza kwamba Mungu ni mkuu, asiyeonekana, na mwenye mamlaka.
|
||
|
|
||
|
# mambo yasiyofahamika
|
||
|
|
||
|
"mambo yasiyochunguzika" au "mambo yasiyoeleweka"
|
||
|
|
||
|
# yasiyohesabika
|
||
|
|
||
|
"ambayo hayahesabiki"
|
||
|
|
||
|
# Tazama
|
||
|
|
||
|
"Tazama" au "kuwa makini"
|
||
|
|
||
|
# hupita kwenda mbele
|
||
|
|
||
|
"yeye hupita" au "yeye huendelea mbele"
|
||
|
|
||
|
# Kama akichukua kitu chochote, nani tamzuia? Nani awezaye kumuuliza, 'unafanya nini?'
|
||
|
|
||
|
Haya ni maswali ya kejeri ambayo hutarajia jibu la "Hata mmoja." Yanaweza kupangiliwa kama maelezo. "Kama akichukuwa kitu chochote mbali, hakuna wakumzuia. Hakuna wa kumuuliza, 'unafanya nini?""
|
||
|
|
||
|
# Kama akichukua kitu chochote
|
||
|
|
||
|
"Kama yeye akichukua mbali kitu fulani" au "Kama akihitaji kunyakua mbali kitu chochote"
|