forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
517 B
Markdown
24 lines
517 B
Markdown
|
# "kweli najua kwamba ndivyo hivyo.
|
||
|
|
||
|
"najua kwamba kile unachosema ni kweli"
|
||
|
|
||
|
# ndivyo hivyo
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "hii" linahusu kile alichosema Bildadi.
|
||
|
|
||
|
# kwa namna gani mtu anakuwa na haki kwa Mungu?
|
||
|
|
||
|
"kwa namna gani mtu yeyote atakuwa hana kosa mbele za Mungu?"
|
||
|
|
||
|
# hoji
|
||
|
|
||
|
"shindana"
|
||
|
|
||
|
# hatamjibu yeye mara moja katika elfu zaidi
|
||
|
|
||
|
"Mara moja katika elfu zaidi" ni usemi unaomaanisha "hata kidogo." Maana zinazofaa ni 1) "hawezi kutoa jibu lolote kwa Mungu" au 2) "Mungu atamjibu yeye hata kidogo"
|
||
|
|
||
|
# elfu zaidi
|
||
|
|
||
|
"mara 1,000"
|