sw_tn/job/08/21.md

16 lines
653 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yeye atakijaza kinywa chako na kicheko, midomo yako na shangwe
Bildadi anaendelea kusema na Ayubu. Neno "yeye" linahusu Mungu, na "-ako, -enu" linahusu Ayubu. Mwandishi anawasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti kuwasilisha furaha ambayo Ayubu atapitia. "Mungu atakupa furaha tena."
# midomo yako na shangwe
Maana kamili ya kifungu hiki inaweza kuwafahamika kutokana na mwanzo wa sentensi. "Mungu atakijaza kinywa chako na na kelele za furaha."
# Wale ambao wanakuchukia wewe watavishwa aibu; nayo hema yake mwovu haitakuwepo tena
"Waovu watajawa na aibu; wabaya watakoma kuishi."
# haitakuwepo tena
"hautadumu" au "utafika mwisho"