forked from WA-Catalog/sw_tn
44 lines
1.2 KiB
Markdown
44 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Sasa
|
||
|
|
||
|
Neno hili limetumiwa na Ayubu kuleta habari mpya.
|
||
|
|
||
|
# tafadhari tazama
|
||
|
|
||
|
Kitenzi "kutazama" lipo katika sehemu ya nafsi ya pili wingi.
|
||
|
|
||
|
# usoni penu
|
||
|
|
||
|
"-ako, -enu" lipo katika sehemu ya nafsi ya pili wingi.
|
||
|
|
||
|
# punguzeni ukali, nawasihi
|
||
|
|
||
|
"Tafadhari kuwa na huruma nami" au "Tafadhari geuka"
|
||
|
|
||
|
# ukali kidogo
|
||
|
|
||
|
Kitenzi hiki kipo katika sehemu ya nafsi ya pili wingi.
|
||
|
|
||
|
# lisiwepo neno la uonevu na nyinyi
|
||
|
|
||
|
"nitendeeni kwa haki"
|
||
|
|
||
|
# Hasa, punguzeni ukali, sababu zangu ni za haki
|
||
|
|
||
|
"Badilisheni namna mnavyonitendea mimi tena; Mimi niko sawa katika hili" au " Badilisheni namna mnavyonitendea; Mimi bado niko sawa katika hili"
|
||
|
|
||
|
# kali kidogo
|
||
|
|
||
|
Kitenzi hiki kipo katika sehemu ya nafsi ya pili wingi.
|
||
|
|
||
|
# Je mna uovu ulimini mwangu?
|
||
|
|
||
|
"Je nimesema mabo maovu?" Ayubu anatumia hili swali kuwakemea rafiki zake na kusisitiza kwamba yeye siyo mbaya. "Mimi sisemi mambo maovu."
|
||
|
|
||
|
# Je mna uovu ulimini mwangu?
|
||
|
|
||
|
Kiuhalisia ulimi hauwezi kuwa na uovu, kwa hiyo ni mfano uliotumika kuelezea kauli mbaya.
|
||
|
|
||
|
# Je kinywa changu hakiwezi kungundua madhara?
|
||
|
|
||
|
Ayubu anatumia swali hili kuwa kemea rafiki zake na kusisitiza kwamba yeye anaweza kuwaambia tofauti kati ya wema na ubaya. "Mimi naweza kuwaambia tofauti kati ya uzuri na ubaya."
|