forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
789 B
Markdown
24 lines
789 B
Markdown
|
# Je mnapanga kuyapuuza maneno yangu, mnayachukulia maneno ya mtu mwenye kukata tamaa sawa na upepo?
|
||
|
|
||
|
Ayubu anatumia swali hili kuwakemea rafiki zake. "Mmeyapuuza maneno yangu, na kuyachukulia maneno yangu kama si kitu."
|
||
|
|
||
|
# Je mna
|
||
|
|
||
|
"wewe, ninyi" ipo katika sehemu ya nafsi ya pili wingi.
|
||
|
|
||
|
# mnayachukulia maneno ya mtu mwenye kukata tamaa sawa na upepo
|
||
|
|
||
|
Ayubu analinganisha maneno ya kukata tamaa ya mtu asiye na tumaini kwaajili ya msaada na upepo usio na kitu; yote hayana manufaa.
|
||
|
|
||
|
# mna piga kura kwa ajili ya yatima
|
||
|
|
||
|
"hata mna cheza kamari kumpata yatima"
|
||
|
|
||
|
# mna piga kura ... kupatana bei juu ya rafiki yenu
|
||
|
|
||
|
Hapa "wewe, ninyi" na "-ako, -enu" yapo katika sehemu ya nafsi ya pili wingi.
|
||
|
|
||
|
# na kupatana bei juu ya rafiki yenu kama bidhaa.
|
||
|
|
||
|
"na kuchimba shimo kwaajili ya rafiki yenu"
|