forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
737 B
Markdown
24 lines
737 B
Markdown
|
# Hii inaweza kuwa faraja yangu hata sasa
|
||
|
|
||
|
"Hata hivyo hii inaweza kuwa faraja yangu" au "Hii inaweza kuniletea faraja"
|
||
|
|
||
|
# hata kama nafurahia sana maumivu ambayo hayapungui
|
||
|
|
||
|
"Mimi nita ruka kwa furaha katika maumivu yasiyokwisha" au "Mimi nitavumilia maumivu ambayo hayapungui"
|
||
|
|
||
|
# nafurahia sana
|
||
|
|
||
|
"furahi"
|
||
|
|
||
|
# yasiyopungua
|
||
|
|
||
|
"hayapungui"
|
||
|
|
||
|
# kwa kuwa sikuyakana maneno yake Mtakatifu
|
||
|
|
||
|
"hivyo sikumkana Mungu"
|
||
|
|
||
|
# Nguvu yangu ni ipi, hata nijaribu kusubiri? Mwisho wangu ni upi, utakao refusha maisha yangu?
|
||
|
|
||
|
Ayubu anatoa maswali haya kusisitiza kwamba hakuna maana ya yeye kuendelea kuishi. "Zaidi, kuna nini tena kipo kwaajili yangu kuishi na kukitumainia?" au "Mimi sina nguvu za kuendelea kuishi; Mimi sina sababu ya kuwa mstahamilivu"
|