sw_tn/job/04/14.md

16 lines
431 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Mwandishi anatumia ulinganishaji katika mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia maelezo tofauti kusisitiza hofu ya Elifazi.
# nilipopatwa hofu na kutetemeka
Hapa hofu na kutetemeka yanazungumziwa kana kwamba ni mambo ambayo yanaweza kumwijilia mtu. "Mimi nikanza kuogopa na kutetemeka."
# nywele zangu za mwili zilisimama
Hii inaonyesha hofu kubwa.
# nywele za mwili wangu
"Nywele juu ya mwili wangu"