# Habari za Jumla: Mwandishi anatumia ulinganishaji katika mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia maelezo tofauti kusisitiza hofu ya Elifazi. # nilipopatwa hofu na kutetemeka Hapa hofu na kutetemeka yanazungumziwa kana kwamba ni mambo ambayo yanaweza kumwijilia mtu. "Mimi nikanza kuogopa na kutetemeka." # nywele zangu za mwili zilisimama Hii inaonyesha hofu kubwa. # nywele za mwili wangu "Nywele juu ya mwili wangu"