forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1.0 KiB
Markdown
24 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# Habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Kifungu hiki kina maswali manne ya kejeli, ambayo Ayubu anauliza ili kufanya mfululizo wa kweli wa maelezo.
|
||
|
|
||
|
# Kwanini si-kufa wakati lipotokeza katika tumbo la uzazi?
|
||
|
|
||
|
"kwa nini sikufa wakati wa kuzaliwa?" Ayubu anauliza swali hili ili kulaani siku ya kuzaliwa kwake na kueleza majuto yake. "Natamani ningelikufa siku nilipozaliwa"
|
||
|
|
||
|
# Kwanini sikuitoa roho yangu hapo mama aliponizaa?
|
||
|
|
||
|
Ayubu anamaanisha kusema kwamba yeye asingelizaliwa hai. "Natamani ningelikufa wakati nilipotoka nje ya tumbo la uzazi."
|
||
|
|
||
|
# kuitoa roho yangu
|
||
|
|
||
|
Hii inahusiana na kifo.
|
||
|
|
||
|
# kwanini magoti yake yalinipokea?
|
||
|
|
||
|
Labda hii inahusiana na paja la mama yake Ayubu. Magoti ya mama yake yamezungumziwa kana kwamba ni watu ambao wanaweza kumkaribisha mtoto mchanga. "Natamani kusingelikuwa na paja la kunipokea mimi."
|
||
|
|
||
|
# Kwanini maziwa yake yanipokee hata ninyonye?
|
||
|
|
||
|
Maziwa ya mama yake Ayubu yanazungumziwa kana kwamba ni watu ambao wanaweza kumkaribisha mtoto mchanga. "Natamani kusingelikuwa na maziwa kwaajili ya kuninyoshesha."
|