sw_tn/job/02/12.md

20 lines
552 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walipoinua macho yao
"walikaza macho" au "walitazama kwa makini"
# hawakuweza kumtambua
Hii yawezekana inamaanisha kwamba wageni wa Ayubu hawakuweza kumtambua kwanza, wakati walipo muona kwa mbali. Ayubu alionekana tofauti kuliko kawaida kwa sababu ya huzuni yake na kwa sababu ya kuwashwa mwili mzima. "kwa shida walimtambua"
# Wakapaza sauti zao na kulia
"wakalia kwa sauti kubwa " au "wakalia sana"
# akararua joho lake
Hii ilikuwa ishara ya maombolezo.
# kurusha majivu hewani na juu ya kichwa chake
Hizi zilikuwa ishara za maombolezo.