forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
457 B
Markdown
16 lines
457 B
Markdown
|
# akalirarua joho lake, akanyoa kichwa chake
|
||
|
|
||
|
Haya yalikuwa matendo ya taratibu za ibada ya maombolezo, kuashiria huzuni kumbwa.
|
||
|
|
||
|
# Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu ni uchi, nami nitakuwa uchi wakati nitakaporudi huko
|
||
|
|
||
|
"Wakati wa kuzaliwa kwangu, si kuleta kitu duniani, na wakati wa kifo changu nitarudi udongoni bila kitu."
|
||
|
|
||
|
# Katika mambo hayo yote
|
||
|
|
||
|
"Kuhusu haya yote yaliyotokea"
|
||
|
|
||
|
# hakumwazia Mungu kwa uovu.
|
||
|
|
||
|
"kusema kwamba Mungu alifanya makosa"
|