sw_tn/job/01/18.md

20 lines
385 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wana wako wa kiume na binti zako walikuwa wakila na kunywa mvinyo nyumbani mwa ndugu yao mkubwa
Tafsiri kama katika 1: 13
# Upepo wenye nguvu
"kimbunga" au "dhoruba jangwani"
# pembe nne za nyumba
"mihimili ya muundo wa nyumba"
# Ikawaangukia vijana
"Nyumba ikawaangukia wana wako wa kiume na mabinti zako"
# Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari.
Tafsiri kama katika 1: 13