# Wana wako wa kiume na binti zako walikuwa wakila na kunywa mvinyo nyumbani mwa ndugu yao mkubwa Tafsiri kama katika 1: 13 # Upepo wenye nguvu "kimbunga" au "dhoruba jangwani" # pembe nne za nyumba "mihimili ya muundo wa nyumba" # Ikawaangukia vijana "Nyumba ikawaangukia wana wako wa kiume na mabinti zako" # Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari. Tafsiri kama katika 1: 13