sw_tn/job/01/01.md

40 lines
909 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nchi ya Usi
Inawezekana maeneo haya ni 1) eneo katika Edomu mashariki ya mto Yordani mahali fulani magharibi ya Yordani ya sasa au 2) eneo mashariki ya mto Frati katika Irani ya sasa.
# haki na mkamilifu
Neno "haki" na "mkamilifu" yana maana sawa na yanaeleza kwamba Ayubu alikuwa muadilifu. "Alitenda yaliyo mema mbele za Mungu."
# mmoja aliyemcha Mungu
"mmoja aliyemheshimu Mungu"
# kuepukana na uovu
Hapa uovu unazungumziwa kama vile eneo ambalo mtu ataepuka kwenda huko, badala ya kufanya matendo maovu. "alikataa kufanya uovu"
# watoto saba wakiume na mabinti watatu
"wakiume 7 na mabinti 3"
# Alimiliki kondoo elfu saba
"Alikuwa na kondoo 7,000"
# ngamia elfu tatu
"ngamia 3,000"
# jozi mia tano za maksai
"jozi 500 za maksai"
# mkuu
"tajiri"
# watu wote wa Mashariki
Inahusu maeneo yaliyokuwa mashariki ya Kanaani. "watu wote wanaoishi katika nchi zilizokuwa mashariki ya Kanaani"