sw_tn/jhn/17/03.md

20 lines
750 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Na uzima wa milelel ndio huu...wakujue wewe Mungu wa kweli, na.. Yesu Kristo
Uzima wa milele ni kumjua Mungu wa kweli na wa pekee, Mungu Baba na Mungu Mwana na Mungu Roho.
# Kwamba inawapasa wakujue wewe
Hii inamaanisha kumjua mungu kwa uzoefu na wala si juu ya Mungu
# Ile kazi uliyonipa kuifanya
"Kazi"inamaanisha jumla ya huduma ya Yesu hapa Duniani.
# Baba, nitukuze mimi...kwa niliokuwa nao nilipokuwa na wewe kabla dunia haijaumbwa
Yesu alikuwa na utukufu pamoja na Mungu Baba '"Kabla ulimwengu haujaumbwa" Kwa sababu Yesu ni Mungu Mwana. Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu ndio Mungu wa Kweli ambaye amekuwepo milele yote na ataendelea kuwepo milele ne milele.
# Baba...Mwana
Hivi ni vyeo vinavyoonyesha uhusiano kati ya Mungu na Yesu.