sw_tn/jhn/14/23.md

16 lines
364 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Yesu anamjibu Yuda (Siyo Iskarioti)
# Baba yangu
Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Mungu
# Neno ambalo mwasikia silo langu bali la Baba ambaye kanituma.
Yesu anasema kwamba yale ayasemayo yatoka kwa Baba. Ujumbe wa Yesu pia ni ujumbe wa Baba kwasababu Baba na Mwana wanakubaliana kikamilifu siku zote
# Neno
Hii inaweza pia kuwa ujumbe