sw_tn/jhn/11/47.md

12 lines
304 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Hii ni sehemu ya pili ya simulizi. Kuhani mkuu pamoja na Mafarisayo wanakutana kwa ajili ya kikao cha baraza la Kiyahudi
# Kisha makuhani wakuu
kisha viongozi kati ya makuhani
# wote wataishi ndani yake
Viongozi wa Kiyahudi waliogopa kwamba watu wangemfanya Yesu kuwa mfalme wao.