sw_tn/jhn/10/40.md

8 lines
308 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yohana kweli hakufanya ishara, lakini mambo yote ambayo Yohana alisema juu ya mtu huyu ni ya kweli.
Ni kweli kwamba Yohana hakufanya ishara, lakini aliongea ukweli juu ya huyu mtu, anayefanya ishara.
# Ishara
Miujiza inayothibitisha kwamba kitu fulani ni cha kweli au kinachompa mwingine kuwa na kibali