sw_tn/jhn/01/01.md

16 lines
589 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hapo mwanzo
Ina maanisha mwanzoni kabisa ya wakati kabla Mungu hajaumba mbingu na nchi.
# Neno
Iina maanisha Yesu. Kama inawezekana litafsiri kama "Neno" Kama katika lugha yako "Neno" ni ngeli ya kike, inawe kufasiriwa kama "yule anayeitwa "Neno."
# Vitu vyote viliumbwa kwa yeye
Hii inaweza kufasiriwa katika hali tendaji. "Mungu alivifanya vitu vyote kwa yeye."
# pasipo yeye hakuna hata kitu kimoja kilichofanyika ambacho kilichofanyika.
Hii inaweza kufasiriwa katika hali tendaji. "Mungu hakufanya kila kitu chochote pasipo yeye" au " Mungu alifanya vitu vyote akiwa naye."