sw_tn/jer/50/44.md

32 lines
640 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
Neno hili linaongeza msisitizo kwa jambo linalofuata.
# Walikwenda juu
Hawa ni wavamiaji toka kaskazini.
# Kama simba
Hii ni jina nyingine ya kusema kuwa uvamizi ulikuwa wa nguvu na usiotarajiwa.
# Kwa haraka nitawafanya waikimbie
Hapa wanazungumziwa watu wa Babeli ambao watawakimbia wavamizi.
# ambaye atachaguliwa
"ambaye nitamchagua"
# Nani kama mimi, na nani atakayeniita?
Bwana anatumia swali kuonesha udogo wa mwanadamu. "Hakuna kama mimi, hakuna wa kuniamuru."
# kuita
Kumuamuru mtu aje
# Ni mchungaji gani atakayepambana na mimi?
Bwana anatumia swali kuonesha kuwa hakuna kiongozi wa kumpinga au kumshinda.