sw_tn/jer/50/38.md

24 lines
631 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maji yao
"maji" inawakilisha vyanzo vyote vya maji hasa mito inayopita kwenye mji.
# Mbweha
Mbweha ni mbwa mwitu wanaopatikana Asia na Afrika.
# Mbuni wataishi kwake
"mbuni" ni ndege mkubwa wa Afrika anayekimbia haraka lakini hawezi kupaa. Neno "kwake" linamaanisha Babeli.
# Kwa muda wote hatakuwa mwenyeji. Kizazi hadi kizazi hakitaishi kwake.
Sentensi hizi zina maana inayofanana zikisisitiza kuwa Babeli haitakuwa na wenyeji kabisa.
# Hataishi ndani yake
"hakuna atakayeishi kwake"
# hakuna atakayeishi huko; hakuna atakayekaa kwake
Maneno haya yanamaana moja yakisisitiza kuwa Babeli haitakuwa na wenyeji kabisa.