sw_tn/jer/33/04.md

8 lines
222 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika hasira na gadhabu yangu.
maneno "hasira" na "gadhabu" kimsingi yana maana moja, na yanaweka msisitizo kuhusu hasira ya Yahwe.
# Nitakapouficha uso wangu.
Kirai hiki knaonesha akutoonekana kwa Yahwe katika mji.