# Katika hasira na gadhabu yangu. maneno "hasira" na "gadhabu" kimsingi yana maana moja, na yanaweka msisitizo kuhusu hasira ya Yahwe. # Nitakapouficha uso wangu. Kirai hiki knaonesha akutoonekana kwa Yahwe katika mji.