sw_tn/jer/29/20.md

12 lines
212 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kolaya ... Maaseya
Haya ni majina ya kiume.
# Ona.
"Angalia" au "sikiliza" au "toa usikivu kwa kilie kinachosemwa."
# Niko karibu kuwaweka katika mkono wa Nebukadreza.
"Nitamruhusu Nebukadreza kuwavamia."