# Kolaya ... Maaseya Haya ni majina ya kiume. # Ona. "Angalia" au "sikiliza" au "toa usikivu kwa kilie kinachosemwa." # Niko karibu kuwaweka katika mkono wa Nebukadreza. "Nitamruhusu Nebukadreza kuwavamia."