sw_tn/jer/22/04.md

20 lines
534 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wafalme wanaoketi kiti cha Daudi
Hii inahusu wafalme wenye mamlaka kama Daudi. Wafalme, wanatawala kama Daudi mbele yao
# wakiendesha gari na farasi
Maneno haya yanaelezea wafalme kama wenye nguvu na matajiri.
# yeye, watumishi wake, na watu wake
Sentensi hii inaorodhesha wote ambao watakuwa na nguvu na matajiri. "yeye, watumishi wake, na watu wake watapanda ngome juu ya magari na farasi"
# ikiwa husikiliza
"ikiwa husikiliza" (UDB) au "ikiwa hutii"
# hili ni tamko la bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.