sw_tn/jer/16/16.md

28 lines
715 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# wavuvi wengi.....wawindaji wengi
Bwana anawafananisha watu ambao watawachukua Waisraeli kuwa mateka kwa watu wenye ujuzi wa kunyang'anya mawindo yao.
# macho yangu yapo juu ya njia zao zote
"Ninaangalia kila kitu wanachofanya"
# hawawezi kujificha mbele yangu
Hapa neno "wao" linaweza kutaja kwa watu au kwa matendo yao. AT "hawawezi kujificha njia zao kutoka kwangu" au "naona yote wanayofanya"
# Uovu wao hauwezi kufichika mbele ya macho yangu
"Naona dhambi zao zote"
# kujaza urithi wangu na sanamu zao za machukizo
Kifungu hiki kinaelezea "uovu na dhambi" ule ambao watu walifanya.
# urithi wangu
Hii inahusu nchi ya Israeli.