# hili ni tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7. # wavuvi wengi.....wawindaji wengi Bwana anawafananisha watu ambao watawachukua Waisraeli kuwa mateka kwa watu wenye ujuzi wa kunyang'anya mawindo yao. # macho yangu yapo juu ya njia zao zote "Ninaangalia kila kitu wanachofanya" # hawawezi kujificha mbele yangu Hapa neno "wao" linaweza kutaja kwa watu au kwa matendo yao. AT "hawawezi kujificha njia zao kutoka kwangu" au "naona yote wanayofanya" # Uovu wao hauwezi kufichika mbele ya macho yangu "Naona dhambi zao zote" # kujaza urithi wangu na sanamu zao za machukizo Kifungu hiki kinaelezea "uovu na dhambi" ule ambao watu walifanya. # urithi wangu Hii inahusu nchi ya Israeli.