sw_tn/jer/16/01.md

16 lines
345 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# neno la Bwana lilifika kwa
Tazama jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 1.
# Watakuwa kama samadi juu ya nchi
Wanaume na binti waliozaliwa katika nchi hulinganishwa na ndovu kwa sababu hawatazikwa baada ya kufa.
# Kwa maana wataangamizwa
Hii ni njia nyepesi ya kusema kwamba watakufa.
# kwa upanga
Neno "upanga" linamaanisha jeshi la adui.