sw_tn/jer/15/15.md

28 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Yelemia anaongea na Bwana.
# Unikumbuke
"Kumbuka mimi" au "Fikiria mimi na hali yangu"
# wafuasi wangu
"wale wanaonitafuta kunidhuru"
# Katika uvumilivu wako usiniondoe.
"Tafadhali usiendelee kuwavumilia na usiruhusu nife sasa."
# Maneno yako yamepatikana
Nimesikia ujumbe wako.
# Niliwaangamiza
Nilielewa ujumbe wako
# jina lako limetangazwa juu yangu
watu walinitambua kuwa ni mmoja wenu