# Taarifa za jumla Yelemia anaongea na Bwana. # Unikumbuke "Kumbuka mimi" au "Fikiria mimi na hali yangu" # wafuasi wangu "wale wanaonitafuta kunidhuru" # Katika uvumilivu wako usiniondoe. "Tafadhali usiendelee kuwavumilia na usiruhusu nife sasa." # Maneno yako yamepatikana Nimesikia ujumbe wako. # Niliwaangamiza Nilielewa ujumbe wako # jina lako limetangazwa juu yangu watu walinitambua kuwa ni mmoja wenu