sw_tn/jer/14/15.md

16 lines
603 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Yeremia amekwisha kuzungumza na Bwana juu ya mambo ambayo manabii wa uongo wamekuwa wanatabiri
# wanatabiri kwa jina langu
Hapa "jina" linawakilisha mawazo ya mamlaka. AT "kutabiri wakati wa kudai mamlaka yangu ya kufanya hivyo"
# hakutakuwa na upanga
Hapa "upanga" unamaanisha wazo la vita. AT "hakutakuwa na vita"
# nitamwaga uovu wao wenyewe juu yao
Tabia za uadili kama vile uovu mara nyingi huzungumzwa kwa Kiebrania kama kwamba walikuwa maji. Pia, ubora wa uovu umesimama hapa kwa adhabu inayostahiliwa na watu waovu. AT "Nitawaadhibu njia ambayo inastahili kuadhibiwa".