sw_tn/jer/12/05.md

16 lines
608 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unawezaje kushindana dhidi ya farasi?....utafanyaje katika misitu karibu na Yordani?
Maswali haya mawili yanalenga kutoa taarifa. AT "huwezi kushindana vizuri dhidi ya farasi ... utashindwa katika misitu karibu na Yordani."
# Ikiwa unashuka chini ya nchi iliyo salama
Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri kifungu hiki kwa Kiebrania kama 'Ikiwa unajisikia salama katika nchi ya salama.'
# nchi iliyo salama
Hii inahusu nchi ya wazi, ambapo ni rahisi kusafiri haraka, kinyume na vichaka vilivyomo karibu na Mto Yordani, ambako ni vigumu kuhamia.
# misitu
vichaka vingi au miti midogo inakua karibu