# unawezaje kushindana dhidi ya farasi?....utafanyaje katika misitu karibu na Yordani? Maswali haya mawili yanalenga kutoa taarifa. AT "huwezi kushindana vizuri dhidi ya farasi ... utashindwa katika misitu karibu na Yordani." # Ikiwa unashuka chini ya nchi iliyo salama Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri kifungu hiki kwa Kiebrania kama 'Ikiwa unajisikia salama katika nchi ya salama.' # nchi iliyo salama Hii inahusu nchi ya wazi, ambapo ni rahisi kusafiri haraka, kinyume na vichaka vilivyomo karibu na Mto Yordani, ambako ni vigumu kuhamia. # misitu vichaka vingi au miti midogo inakua karibu