sw_tn/jer/10/08.md

28 lines
572 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wote wako sawa, ni kama wanayama na wapumbavu
"kila mmoja wao ni mpumbavu"
# wanafunzi wa sanamu ambazo si chochote isipokuwa miti tu
"wanajaribu kujifunza toka kwa sanamu ambayo ni kipande cha mti"
# sonara
"mtu mwenye ujuzi wa kazi za mikono"
# Tarshishi ... ufazi
Ni maeneo ambayo dhahabu na fedha zinapatikana
# dhahabu kutoka Ufazi ilyotengenezwa na sonara,ni kazi ya ustadi
"dhahabu kutoka Ufazi amabyo sonara mwenye ujuzi ameitengeneza"
# mavazi yao ni rangi y samawi na urujuani
"watu waliivalisha sanamu kwa mavazi mazuri
# matetemeko
"mtikisiko"