sw_tn/jdg/21/13.md

16 lines
339 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walikuwa wanawapa amani
"Walitaka kufanya amani pamoja nao"
# Yabeshi Gileadi
Hili ni jina la mji.
# hapakuwa na wanawake wa kutosha kwa wote
Kulikuwa na Wabenyamini mia sita na wanawake kutoka Yabeshi Gileadi walikuwa mia nne.
# alifanya mgawanyiko kati ya makabila ya Israeli.
"alisababisha makabila ya Israeli yasiwe na umoja"