# walikuwa wanawapa amani "Walitaka kufanya amani pamoja nao" # Yabeshi Gileadi Hili ni jina la mji. # hapakuwa na wanawake wa kutosha kwa wote Kulikuwa na Wabenyamini mia sita na wanawake kutoka Yabeshi Gileadi walikuwa mia nne. # alifanya mgawanyiko kati ya makabila ya Israeli. "alisababisha makabila ya Israeli yasiwe na umoja"