sw_tn/jdg/18/27.md

20 lines
375 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kile alichokifanya Mika
Mika hakuitengeneza miungu lakini fundi aliitengeneza.
# Laisha
Hili ni jina la mji.
# kwa upanga
"upanga" unawakilisha upanga au silaha nyingine zinazotumiwa na askari vitani.
# hawakuwa na uhusiano na mtu yeyote
Hii inamaanisha kuwa walikuwa wakiishi mbali na miji mingine hivyo walikuwa mbali na watu.
# Beth Rehobu
Hili ni jina la mji.