# kile alichokifanya Mika Mika hakuitengeneza miungu lakini fundi aliitengeneza. # Laisha Hili ni jina la mji. # kwa upanga "upanga" unawakilisha upanga au silaha nyingine zinazotumiwa na askari vitani. # hawakuwa na uhusiano na mtu yeyote Hii inamaanisha kuwa walikuwa wakiishi mbali na miji mingine hivyo walikuwa mbali na watu. # Beth Rehobu Hili ni jina la mji.