sw_tn/jdg/18/01.md

36 lines
524 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Siku hizo ... miongoni mwa makabila ya Israeli
Haya ni maelezo juu ya Israeli na watu wa kabila la Dani.
# Siku hizo
Hii inaonesha mwanzo wa tukio katika simulizi.
# hawakupokea urithi wowote kutoka
"hawakupokea ardhi kama urithi"
# kutoka kwa idadi yote ya kabila lao
"idadi yote" inamaanisha watu wa kabila lile.
# wenye ujasiri
"wenye uzoefu wa kupigana"
# ili kukagua ardhi kwa miguu
"miguu" inamaanisha kutembea.
# Sora
Hili ni jina la mji.
# Eshtaoi
Hili ni jina la mji.
# Mika
Hili ni jina la mtu.