# Siku hizo ... miongoni mwa makabila ya Israeli Haya ni maelezo juu ya Israeli na watu wa kabila la Dani. # Siku hizo Hii inaonesha mwanzo wa tukio katika simulizi. # hawakupokea urithi wowote kutoka "hawakupokea ardhi kama urithi" # kutoka kwa idadi yote ya kabila lao "idadi yote" inamaanisha watu wa kabila lile. # wenye ujasiri "wenye uzoefu wa kupigana" # ili kukagua ardhi kwa miguu "miguu" inamaanisha kutembea. # Sora Hili ni jina la mji. # Eshtaoi Hili ni jina la mji. # Mika Hili ni jina la mtu.