sw_tn/jdg/16/30.md

40 lines
664 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alisukuma kwa nguvu zake
"alitumia nguvu zake kusukuma nguzo"
# Waliouawa
"watu waliokufa"
# walikuwa zaidi
"idadi yao ilikuwa kubwa sana"
# nyumba yote ya baba yake
"familia yote ya baba yake"
# Kisha ndugu zake na nyumba yote ya baba yake wakashuka
"Walishuka" kwa sababu sehemu ambayo familia ya Samsoni walitoka ilikuwa juu ya Gaza.
# Sora ... Eshtaoli
Haya ni majina ya mahali.
# mahali pa kuzikwa Manoa, baba yake
"mahali alipozikwa Manoa baba yake"
# Manoa
Hili ni jina la mwanaume.
# Samsoni alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini
"Samsoni alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini kabla hajafa"
# Miaka ishirini
"miaka 20"